UPIGAJI PICHA FILAMU YANGU IITWAYO "NISAMEHENI WAZAZI"

Picha hizi zote zinaonyesha jinsi upigaji picha wa filamu hii ulivyofanyika. Ni filamu ambayo inalenga kuwahamasisha wananchi dhidi ya athari za utumiaji wa madawa ya kulevya. Ni filamu ambayo iliandikwa na Bw.KAZUNGU SAMUEL.Kazungu ambaye ni mwana blog-pia ni mwandishi katika gazeti la kiswahili la Taifa Leo. Wengi wanatarajiwa kuelimishwa na filamu hii ya aina yake kuwahi kuchezwa jijini Mombasa hapa Kenya.




































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































Comments